ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 21, 2010

Image
Askari Polisi wakiondoa vizuizi vilivyowekwa barabarani na wanafunzi katika eneo la Kunduchi Mtongani, Dar es Salaaam, kushinikiza Serikali ijenge matuta barabarani baada ya wanafunzi wawili kugongwa na gari, mmoja alikufa, mwingine amejeruhiwa.(Picha na Robert Okanda).

No comments: