Kuanguka kwa wire mbona kurekebisha ni rahisi tena
Bumper zinapokwisha dukani,aaah mbona rahisi sana,kurekebisha,najengea mbao
Siku mayaya wanapogomea kazi,hii mbona inarekebishika kirahisi
Siku ukiikuta gari yako kwenye mawe,unaweza kurekebisha tatizo na gari likaendesheka
wiper zikifa,humuhitaji fundi,unarekebisha poa
Kofi machine yako ikifa wala usikonde Kofi lazima inyweke
Siku Bongo watakapo piga marufuku LHD,wala hakuna Shida hii kitu inarekebishika kirahisi
Dish lako likiwa linaleta matatizo wakati wa mvua,unarekebisha vizuri tu
Siku unapokosa GPS,mbona inarekebishika
unapokosa cooler,hii ndio rahisi sana kurekebishika
unaibiwa Redio ya gari,hii inarekebishika
unapokosa opener, hii inarekebisha
Umeme unapo korofisha,unarekebisha poa kabisa
Plazima ukikosa pakuning'iniza,unarekebisha namna hii tu
Unapokosa kijiko,wala usikonde
Mkanda wa gari ukiharibika wala usipateshida,inarekebishika
















No comments:
Post a Comment