![]() |
| Kaimu Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali Daily News, Sunday News, HABARILEO na HABARILEO Jumapili, Mkumbwa Ally akimkabidhi zawadi ya simu ya mkononi aina ya Nokia Classic 2330 Muuzaji wa magazeti Gabriel Emmanuel kwa kuongoza kuliuza Gazeti la HABARILEO. Sherehe hizo zilifanyika Ofisi za TSN Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi). |

No comments:
Post a Comment