ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 27, 2010

Msukuma mkokoteni na kilongalonga

Image
Msukuma mkokoteni akiwa amesimama katikati ya Barabara akizungumza na simu bila kujali usumbufu aliousababisha kwa madereva wa magari Barabara ya Chang'ombe Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).

No comments: