ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 27, 2010

Mvua ya upepo mkali yaitikisa Kapitali,watu hawana umeme tangia jumapili July 25

Barabara ikiwa imefungwa kama inavyoonekana hapa kwenye makutano ya Meadowlark Ln na Melody Ln,Bethesda,MD
Huu ni mtaa wa Camberley Av,Bethesda,MD
Huu ni mtaa wa Oakmont Av,Bethesda,MD

picha na Maelekezo kutoka kwa mdau Didi Vava

No comments: