ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 20, 2010

Red Carpet yapotea kimiujiza


Red Carpet iliyotumika kwenye Baby Shower ya Halima Ally,imepotea kimiujiza na haiijulikani aliyechukua ni nani,


Red Carpet ambayo ilikua imekodishwa maalum kwa shughuli hiyo,ilipotea bila mwenye kujua,habari ilizozifikia VIJIMAMBO zinasema,shughuli ilipokua inakaribia kuisha alionekana jamaa mmoja jina tunalo akijifanya kusaidia kuikunja lakini kabla hajamaliza kufanya hivyo alionekana na Carpet kusalimishwa na kuhifadhiwa sehemu ikisubiliwa shower kuisha.


Mara tu baada ya Dj kutangaza muziki wa mwisho,Carpet nayo ilikwisha yeyuka mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyedai ameichukua.


Msemaji huyo aliendelea kusema wamepewa mpaka Ijumaa Carpet  irudishwe na anaomba kama kuna raia mwema aliyeichukua bahati mbaya akasahau basi asisite kuwasiliana na Halima simu # 240 988 4242 asante.

No comments: