ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 22, 2010

uzikaji wa New York


Picha ni Grader linavyoshindilia kabuli,kwetu tumezoea kufukia kaburi na sepetu hapa New York ni tofauti,mtakachofanya wafiwa ni kupewa mchanga wa kutupa kwenye kaburi baada ya hapo kazi yote ya kufukia kaburi itamalizwa na Grader

No comments: