
Gari husika likiwa limepinduka.
GARI lililokuwa limebeba wapambe wa mgombea udiwani Kata ya Mzumbe mkoani MOrogoro, lenye namba za usajili T 257 ART jana lilipata ajali baada ya kupinduka na kusababisha watu wanne kujeruhiwa. Msafara huo ulikuwa ukimsindikiza mmoja wa wagombea wa udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenda kuchukua fomu. Jina la mgombea udiwani na majeruhi hayakuweza kupatikana mara moja.Baadhi ya watu walionusurika katika ajli hiyo.
Mzee huyu alikuwa miongoni mwa wapambe.
Kijana huyu ni mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo.
Gari lililokuwa limebeba wapambe hao baada ya kuinuliwa.
Askari wa usalama barabarani wakilikagua gari lililopata ajali.
Gari la Polisi likiwa eneo la tukio.
PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE / GPL MOROGORO






No comments:
Post a Comment