ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 18, 2010

Image
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akionesha Fomu za kugombea nafasi hiyo mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Hatib Mwinchande katika Ofisi ya Tume hiyo Maisara mjini Zanzibar jana.

No comments: