![]() |
| Mmoja wa wasichana wanaoishi na virusi vya Ukimwi, Neema Raymond (16) akifutwa machozi na waelimishaji rika wa mpango wa kimataifa wa mapambano ya ukimwi wa Dance For Life mara baada ya kutoa historia yake katika Kijiji cha Nzihi, Iringa Vijijini, mwishoni mwa wiki. (Picha na Frank Leonard). |

No comments:
Post a Comment