
Ni takribani masaa 26, Dakika 1560 na Sekunde 93600 mpambano huo upigwe, ambapo kwa mujibu wa TFF mchezo utachezwa majira ya saa 10:15 jioni katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Mechi hiyo ambayo imekuwa gumzo kwa takriban mwezi mmoja sasa, ni maalum pia kwa ajili ya ufunguzi wa kinyang’anyiro cha michuano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu itakayoanza Jumamosi
CHANZO:GLOBAL PUBLISHERS
No comments:
Post a Comment