ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 8, 2010

WATANZANIA WENZANGU,DMV

Tunatoa shukurani nyingi kwa familia ya Muganda kwa kuweza kutoa msaada wa nguo na viatu kwa ajili ya kusaidia Watanzania wenzao ambao wanaendesha maisha yao kila siku bila kua na uwezo wa kununua nguo au viatu,Mwenzezi Mungu mwingi wa rehema awazidishie mara elfu.Picha juu ni Mama na Baba Muganda,chini kutoka kushoto ni Mr Muganda,Aunt yetu kutoka NY,na Natali Muganda mtoto ambae na ametoa nguo na viatu kusaidia wadogo zake Tanzania,Mungu akubariki sana Natali
Dada yetu Salma nae amesaidia nguo na viatu Watanzania Wenzake,Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema,akuzidishie mara elfu

No comments: