juu ni Rasheed Beach Boy na mwanae,chini ni msaada wa nguo na viatu waliotoa kusaidia Watanzania wenzao amabo wanaendesha maisha yao kila siku bila ya kua na uwezo wa kununua nguo wala viatu,Mwezezi Mungu mwingi wa rehema awazidishie mara elfu asante sana Beach Boy
2 comments:
Tuko pamoja nawe Bro,Luke.
Rasheed{Beach Boy}.
safi beach boy kwa kuonyesha mfano mzuri
Post a Comment