Uongozi wa Tanzanian Muslim Community of Washington DC Metro (TAMCO) una furaha kuwakaribisha wanajumuiya wote katika sherehe za Eid El Fitri zitakazofanyika siku ya jumamosi 11 Sep 2010:
Mahali:
Hillandale PAB - Hillandale Local Park
10615 New Hampshire AVE
Silver Spring ,MD, 20903
Saa: 3:00 PM - 9:00PM
Uongozi unawaomba wanajumuiya wote kuhudhuria pamoja na familia zao kwa kuzingatia wakati wa shughuli. Kuhudhuria kwenu ndio mafanikio ya shughuli yet
Eid Mubarak
Katibu - TAMCO
Y.M.Yusuph
No comments:
Post a Comment