ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 13, 2010

Eid Tatu,Six Flag

kwa siku ya tatu ya eid ilikuwa katika viwanja vya six flags ambavyo kwa siku hiyo vilikuwa siku maalum kwa waislam.
siku ambayo asiye mwana aeleke jiwe.
kesho eid nne inaendelea katika maeneo ambayo ili upate code yake upige 411, jaribu bahati yako.

No comments: