Habari yako Dj Luke
Kwanza hongera sana kwa soccer tournament iliyofanyika hapo Atlanta,GA jana inaonesha ushirikiana na mshikamano wa tanzania sisi kama ni watanzania tunaoishi CANADA tungependelea kuwemo kwa tournament kama hiyo inshallah mwakani tukijaaliwa lakini hatuna contact yoyote ya wahusika wakuu wa hiyo tournament tunaomba utufuatilia kwa wahusika wakuu tupate kuwasiliana ili tupange na matayarisho wa mwakani ili tupate kujumuika wa TANZANIA wenzatu waliokuwepo huko
AHSANTE SANA
WATANZANIA WAISHIO CANADA
-----------------------------------------------------------------------------
Contact za wandaaji wa Sept 11 Tournament,ATL
Hamisi Chuma 404 454 4173
Bashir Chuma 404 423 63 21
Pia kuna Tournamaent Houston November 26 wakati wa Thanksgiving,wasiliana na
Alune Mwasabwite 281 250 7008
No comments:
Post a Comment