ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 29, 2010

VODACOM MISS TANZANIA 2010 AAGWA

Vodacom Miss Tanzania Genevieve Emmanuel akiongozana na baba yake wakati walipokuwa wakiingia ukumbini.
VODACOM Miss Tanzania 2010, Genevieve Emmanuel Mpangala, jana aliagwa rasmi tayari kwenda kuiwakilisha Tanzania katika shindano la Miss World litakalofanyika nchini China. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Paecock jijini Dar es salaam.
Kocha Mkuu wa Yanga Kosta Papic (katikati) akiongea na baba wa Genevieve Bw. Emmanuel Mpangala kushoto ni Vodacom Miss Tanzania akiwaangalia kwa tabasamu.
Genevieve akiwa na kaka zake Dunstan (kushoto) na Brian (kulia).
Ni wakati wa msosi kama inavyoonekana pichani.


PICHA ZOTE KWA HISANI YA BLOG YA FULL SHANGWE

No comments: