ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 27, 2010

DK. KIKWETE AUNGURUMA KIWALANI

MGOMBEA urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ameongea na wananchi wa jimbo la Segerea Kata ya Kiwalani jijini Dar es Salaam zikiwa zimebaki siku tatu kufikia siku ya uchaguzi mkuu. Ziara hiyo ilitarajiwa kuendelea huko Ukonga na kumalizikia katika viwanja vya Mwembe-Yanga, Temeke. Pichani ni sehemu ya umati uliohudhuria mkutano wa Kiwalani.
..wakimsiliza JK kwa makini licha ya jua kali
JK akisalimiana na wananchi wakati akiwasili Kiwalani leo
Mwanadada na taswira ya mkutanoni Kiwalani leo
Baadhi ya wakereketwa wa chama hicho wakiwa wameshikilia bango lenye picha za madiwani wanaowania nafasi hizo katika jimbo hilo.
Baadhi ya Viongozi wa CCM wakifuatilia hotuba hiyo kwa makini.


akina mama ambao ni wanachama wa CCM wakiwa na nyuso za furaha mkutanoni leo

PICHA: Mussa Mateja/GPL - Michuzi Blog

No comments: