ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 15, 2010

DR BILAL ALIVYOUNGURUMA BABATI,MBULU NA KARATU

Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal. Akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbulu, Philp Marmo, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Wialaya ya mbulu jana okt 14. Picha na Muhidin Sufiani
Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Lukumanda Kata ya Ufana Wilaya ya Babati Vijijini, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana Okt 14
Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akitoka katika uwanja wa mkutano wa Kijiji cha Lukumanda baada ya kumaliza mkutano wa kampeni jana Okt 14.
Wananchi wa Kijiji cha Endabash Kata ya Endabash Wilaya ya Karatu, wakimsikiliza mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk Mohamed Gharib Bilal, wakati alipofanya mkutano wa kwanza wa kampeni katika Wilaya hiyo jana Okt 14. Picha na Muhidin Sufiani

No comments: