ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 15, 2010

Timu ya gofu ya wanawake yenye wachezaji wawili pamoja na rais wa chama cha gofu wanawake taifa inatarajia kuondoka kesho kutwa kuelekea nchini AGENTINA kushiriki mashindano ya DUNIA ambayo yanatarajia kuanza Oktoba 20 hadi 25 mwaka huu Wachezaji wa gofu wanaoondoka wakiwa na rais wa chama cha gofu wanawake nchini Mbonile Burton wa kwanza kulia wakati wakiagwa Jijini Dar es salaam leo kushoto ni Madina Idd na katikati ni Hawa Wanyenche anayewakabidhi Bendera ni Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Bw Reonard Thadeo. Picha kwa hisani ya www.janejohn5.blog

No comments: