Kutakua na mechi ya kukata na shoka leo Jumamosi,Oct
16,Houston,TX,kati ya watani wa jadi,Simba na
Yanga,Mpambano
unatarajiwa kuwa mkali kutokana na mashabiki wa timu zote
mbili kutambiana na kila mtu kudai
kuibuka na ushindi,mpmbano
huu utaenda sambamba na kipute cha Yanga na Simba wa
ukweli,Tanzania ambao wanacheza leo kirumba mwanza.
mechi hii ya Houston itachezewa
10570 Westpark Dr,
Houston,TX,77042
Mechi inatarajiwa kuanza saa 10 jioni(4:00pm)
Nyote mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment