ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 30, 2010

PRO JAY NA CHEMELEONE KUFANYA MAKAMUZI AMSTERDAM.

Deejay G-Town akimlaki Pro Jay mara tu alipowasili Amsterdam Airport Schiphol Ijumaa October 29,2010 kwa makamuzi ambao watashirikiana na mwanmuziki kutoka Uganda Chemeleone.
Chemeleone naye akiwasili Amsterdam hiyo Ijumaa October 29,2010

No comments: