ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 20, 2010

Addictive Reggae Sunday Dec 19,2010 at Millenium Club

Mdj wakikonga nyoyo mashabiki wa Reggae Millenium Club kutoka shoto ni Dj Viq,Dj Kay na Dj Umoshi(Fire)
Dj Davie akienda sambamba na Dj Viq kwenye Addictive Reggae Sunday Millenium 
Wadau wakiburudika na kucheza kwenye Addictive Reggae Sunday
Priscilla Mlaki akiwa mmoja wapo waliokuja kupata chakula huku akiburudika taratibu na Addictive Reggae Sunday
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: