ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 10, 2010

Kitabu Cha JK Chazinduliwa Ikulu

Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Wasifu wa Maisha yake,

Katikati Mwandishi wa kitabu hicho Profesa Julius Nyang'oro
Kutoka Durham, North Carolina 





Nakala ya kiingereza ya Kitabu cha Wasifu wa JK kama kinavyoonekana.
vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam 
kuanzia kesho tarehe 10-12-2010 kwa gharama ya shillingi 25,000/=

CHANZO

mawasilianoikulu.blogspot.com





1 comment:

Unknown said...

Congratulations sweetheart, very proud of you. Excellent work, what an achievement!!!!!!
Alu Nyang'oro