ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 10, 2010

UBU PATA TRELA YA JELANI FILM KITU KAMILI KIKITOKA VIJIMAMBO ITAKUPA TAARIFA ZAIDI

Sinema ya JELANI ni kuhusu kijana wa Kitanzania aliyekuja masomoni Marekani kusomea sheria na baadae kukutana binti wa African American pamoja na kwamba yeye ni ni Muafrika wa Amerika bado kulikua na tofauti kubwa ya tabia kati yao
waigizaji wa sinema ya JELANI shoto ni Peter Walden ambaye ndie muigizaji mkuu anaye tumia jina la JELANI akishirikiana na binti wa Kimarekani anaeitwa Sasha Ryam kwenye picha anaitwa Bobbie   
Juu na chini ni director na producer wakihakikisha kila kitu kinaenda sawa
Director wa sinema ya JELANI,Omar Kasseko

No comments: