ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 9, 2010

Miaka 49 ya Uhuru,MILLENIUM,HYATTSVILLE,MARYLAND

Wadau wakijumuika pamoja kwenye BUFFET ya UHURU Millenium Club,kutoka kushoto ni Mashaka Bilali,Mussa Linga na Abou mzee wa Swahilivilla.blogspot.com
DMK akipata kitu ile roho inapenda
Menyu hii taamuu ninaonekana ndivyo anavyosema Sanga 
Mr Paul huyu Mganda kwa menyu za kibongo hakai mbali naona amechoka na matoke ya kiganda
Vitalis(shoto) akiwa na Cane Mwihava
Mwambata wetu Colonel Maganga nae alikuepo kuunga mkono akiwa na mwanae Sajo
Poromota akiwa na Raju(kulia) wakibadilishana mawazo yote ni shamrashamra za miaka 49 yA UHURU

No comments: