Seif na mama mwenye nyumba wake wanakukaribisha kwenye kitu kipya walichofungua Jumatano Dec 15,2010,4400 Rhode Island Ave,Brentwood,MD, upate ulaji na kanywaji
Wachezaji wa DC Pool table uwanja uishapatikana kwa Mtanzania mwenzetu
1 comment:
Anonymous
said...
Well done Seif na mama mwenye nyumba wako. Watanzania tujitokeze kwa wingi kuwaunga mkono na kupata maakuli saafi.
1 comment:
Well done Seif na mama mwenye nyumba wako.
Watanzania tujitokeze kwa wingi kuwaunga mkono na kupata maakuli saafi.
Post a Comment