ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 28, 2010

Image
TAFRANI KIKAONI! Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya Knight Support, David Sutton akitishia kuondoka kikaoni kwa ghadhabu baada ya Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jenerali Matwani Kapamba (kushoto) kumueleza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha (wa pili kulia) kuhusu kampuni yake, wakati waziri huyo alipotembelea kampuni hiyo ikiwa ni sehemu yake ya ziara kwa kampuni mbalimbali binafsi za ulinzi na uokoaji, Dar es Salaam.(Picha na Fadhili Akida).

No comments: