ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 11, 2011

Happy Birthday to you Mjukuu Njenje

Huyu ni Mjukuu wa Babu Njenje akisherehekea Birthday yake jana Durham,NC
Mjukuu Njenje na Mwana Njenje aliye kulia wakijumuika pamoja kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanae kwa pamoja na ndugu na jamaa. 
Caleb Omar akipata keki ya Birthday
Caleb Omar akiwa na Uncle wake Hamfrey Owen akionyesha vidole sita akiashiria miaka sita,happy birthday Caleb

No comments: