
Dj Babu wa T.O.D. akipagawisha Millenium Club Jumamosi siku ya kwanza mwezi wa kwanza mwaka elfu kumi na kwanza

Wadau wakifurahia mwaka ndani ya Millenium Club

VIP ya kisasa inayolingana na hadhi yako iliyopo Millenium kweli mwaka mpya na mambo mapya

Wadau wakipagawika na mipagawisho ya T.O.D. na Dj Kay Jumamosi ya mwaka mpya.Kwa picha zaidi Bofya Read More



















No comments:
Post a Comment