ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 3, 2011

Wadau wameanza kuingia Milleniam tayari kwa

Juu kutoka Kushoto ni Idd kutoka Texas,Mushihiri na Mhando wakipata maakuli ya jioni Millenium
Chini ni Ligate family ikijumuika pamoja hapo hapo Millenium
Mmoja wa marafiki wa Ligate jina halikuweza kupatikana mara moja nao walikua miongoni waliojumuika na Ligate family kwa ajili ya kanywaji ka jioni

No comments: