ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 22, 2011

Image
Muuguzi akimsaidia mmoja wa majeruhi wawili waliofunikwa na kifusi kwenye mgodi wa Buhemba mkoani Mara hivi karibuni na kukwama kwa siku nne huku wakiishi kwa kunywa mkojo kabla hawajaokolewa na wataalamu wa mgodi wa Barick North Mara. (Na Mpigapicha Wetu).

No comments: