
Ni Kanumba(kati) akiwa na Samuel Malonja(kushoto) na Peter Ligate katika U-kodak moment mara walipokutana Millenium Club Ijumaa Jan 21,2011

Kutoka kushoto ni Jacob Merere,Samuel Malonja na Kanumba the Great wakiwa Millenium Club

Staa wetu wa Bongo Movie Kanumba The Great(kulia) akiwa Samuel Malonja kwenye U-kodak moment

Jacob Merere akiwa Millenium Club akipata menyu
No comments:
Post a Comment