![]() |
| Naibu Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Dk. Finella Mukangara akikagua gwaride rasmi la kuhitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika kikosi cha JKT Mlale, Songea mwishoni mwa wiki. Nyuma ya Naibu waziri ni Mkuu wa Kikosi hicho Meja Abas Ahmed ambapo vijana 711 kutoka mikoa yote hapa nchini walihitimu mafunzo hayo ya Operesheni Uzalendo, ikiwa ni ya 100 tangu jeshi hilo liundwe mwaka 1963. (Picha na Juma Nyumayo). |

No comments:
Post a Comment