ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 9, 2011

Image
Wakazi wa Dar es Salaam wakisubiri kukaangiwa samaki kwenye mabanda ya Soko la Magogoni, jijini jana. Hata hivyo bado suala la usafi katika mabanda hayo ni tete kutokana na wakaangaji wa samaki kutoyaweka katika hali nzuri. (Picha na Fadhili Akida).

No comments: