ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 14, 2011

40 ya Jumbe Masesa,Springfield,MA

Shida Masesa akiwa baba yake Mzee Masesa ambaye pia ni Baba wa Marehemu Jumbe Masesa
Kutoka kushoto ni Hidaya Shabani Machupa(mke wa Machupa),Machupa Masesa na Zaidan Stambuli
Jamila akiwa na Idrisa Stambuli
 
Isack Kibodya(shoto) akiwa na Kenyatta
Kutoka kushoto ni Naima(mtoto wa Mbwali Masesa),Nadia(mtoto wa Rehema Masesa) na Nesha(mtoto wa Jamila Hussein)
Mwenye kanzu nyeupe ni Ustaadh Mohammed Kibodya ambaye ndie aliyeswalisha siku hii ya 40 ya Marehemu Jumbe Masesa iliyofanyikia Springfield,MA.
Kwenye U-kodak ni Twin(kulia),Kenyata(kati) na Machupa.
kulia ni Rajabu Masesa akiwa na mchumba wake,wote wanaishi,New York,NY
Kushoto ni Dj Rich katika U-kodak moment na Kenyatta
Ni Rehema Masesa kwa Picha zaidi Bofya Read More

Picha kwa hisani ya Mdau Kenyeta

No comments: