ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 11, 2011

Image
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya WAMA-Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. Rais Kikwete ameitembelea na kuikagua shule hiyo ya mfano inayohudumia watoto Yatima na wale wanaotoka familia masikini na mazingira magumu wanaofadhiliwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo WAMA inayoongozwa na Mama Salma Kikwete.(Picha na Freddy Maro).

No comments: