ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 11, 2011

Rais Kikwete akutana na Bwana Johnnie Carson, Naibu Waziri wa Nchi Marekani anayeshugulikia Masuala ya Afrika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Nchi wa Marekani anyeshughulikia masuala ya Afrika Bwana Johnnie Carson, Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Naibu Waziri wa nchi wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika Bwana Johnnie Carson ambapo walifanya mazungumzo.(picha na mawasiliano Ikulu)

No comments: