Advertisements

Tuesday, March 29, 2011

Hatimaye kikombe Cha mabatini charuhusiwa

 Kaimu mkuu wa Mkoa Mbeya Moses Chitama akiwatuliza wananchi wenye jazba ya kusimamishwa  mganga wa jadi Jafari Willina kutoa tiba ya ukimwi na magonjwa mengine sugu baada ya kutulia kaimu mkuu wa mkoa huyo aliwaeleza wananchi kuwa serikali ya mkoa imeruhusu kuendelea kupata kikommbe hicho cha dawa kwa kuzingatia taratibu zote za afya pia na kumuagiza kijana Jafari kutafuta eneo jingine kubwa lenye maji na choo kwani hapo alipo sasa si eneo salama sana kwa afya ya binadamu
Kaimu mkuu wa mkoa Moses chitama na kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa mbeya  Advocate Nyombi  wakimsikiliza mmoja wa wagonjwa  Hassan akitoa ushuhuda wa dawa  ya Jafari
Jafari willina akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuruhusiwa kuendelea kutoa tiba
Mzee Anangisye  naye hakuwa mbali na kuandamana kupinga kusitishwa kwa kikombe cha mabatini 

Picha zote kwa hisani mbeya Blog

No comments: