ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 21, 2011

Missy Temeke na Tamia na sherehe za siku zao za kuzaliwa Millenium

Hii sio kiatu kimewekwa mezani,ni Keki ya siku ya kuzaliwa ya Missy Temeke
Juu na chini ni Missy Temeke akiwa na marafiki ICE BLACK MAGIC kusheherekea siku yake ya kuzaliwa

Hii sio picha ya kichwa cha sungura ,ni keki ya siku ya kuzaliwa ya Tamia
Juu ni Tamia(kulia) akiwa na Khadija chini ni marafiki wa tamia wakisherehekea siku yake ya kuzaliwa

No comments: