ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 7, 2011

Waziri Mkuu Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Mama Mzazi wa Waziri wa Ujenzi John Magufuli, Mama Susana Mussa (katikati) wakati walipomtembelea nyumbani kwake Chato mkoani Kagera, jana. Wakiwa ziarani mkoani hapo.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (kulia) akisalimiana na Mama Mzazi wa Waziri wa Ujenzi John Magufuli, Mama Susana Mussa nyumbani kwa mama huyo Chato mkoani Kagera jana. Mama Pinda ameambatana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye ziara ya mkoa huo.


Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: