Misa Ya Kumbukumbu
Peter Yohanna Mgaza
Feb 12th, 1938 – March 27th, 2011
Familia ya Mgaza na Sebo inapenda kukuarika katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa kaka yao Peter Mgaza aliyefariki machi 27, 2011 mjini Dar es Salaam na kuzikwa wilayani Handeni mkoani Tanga.
Ibada itafanyika katika kanisa la Cathedral of Praise
10110 Greenbelt Road, Lanham, MD 20706
Jumapili April 10,2011 saa 6 :30 mchana (12:30pm )
KWA MAELEZO ZAIDI WASALIANA NA
GRACE MGAZA SEBO CELL# 202 270 1860
Wote mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment