![]() |
| Rais Jakaya Kikwete akiwaongoza viongozi wa vyama huru vya wafanyakazi nchini kumkumbuka aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU)marehemu Sylvester Rwegasira aliyefariki dunia hivi karibuni, Dar es Salaam. Rais jana alikutana na viongozi hao Ikulu Dar es Salaam kuzungumza namna ya kutatua changamoto na kero zinazowakabili wafanyakazi nchini. (Picha na Freddy Maro) |

No comments:
Post a Comment