ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 10, 2011

Wageni waalikwa kwa Salha na Isaac Kibodya's Wedding Anniversary

Wageni mbali mbali kutoka kila pembe ya Marekani walikuwepo
Wageni waalikwa wakiwa wamependeza sana
Juu na chini ni wafanyakazi wenziwe na Isaac Kibodya
Wageni wa wakubwa kwa wadogo walikuwepo kwenye siku hii Maalum ya sherehe ya ndoa kutimiza miaka kadha wa kadha.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

1 comment:

Anonymous said...

Pendeza sana woteeeeeeeee.Nawatakia kila Laheri,Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki kwenye Ndoa yenu