Advertisements

Sunday, May 29, 2011

ULTRA WHITE PARTY,yapagawisha,COLUMBUS,OH

Dj Kveli akifanya vitu vyake
Dj Seif akisaini off baada ya kuwapagawisha ULTRA WHITE PARTY
Dj KT kutoka Tanzania nae akifanya mavitu kwenye ULTRA WHITE PARTY
Wadau wamependeza wakipata U-kodak Moment
kutoka shoto ni AJ UBAO akiwa na mama mwenye nyumba wake,Tifa na DMK
Paul na Mama mwenye nyumba wake
AJ na mama mwenye nyumba wake
kutoka shoto ni AJ,Wash na DMK.kwapicha zaidi Bofya Read More

No comments: