Advertisements

Sunday, May 29, 2011

Simba yakataa Uteja kwa Yanga,Columbus,OH yashinda Bao 5-2

Yanga
Simba
Wachezaji yanga wakipanga mikakati kabla ya gemu
Liga akipasha misuli
Edgar na Gilles wakipasha kabla ya gemu
Wenye timu wakipata U-kodak Moment
Juu na chini ni mashabiki wa mahasimu hao wawili
Shabiki namba one wa Lipuli,Liz nae hakua nyuma lakini haikujulikana alikua anashabikia timu gani lakini Lipuli ni wanalunyasi
Kepteni wa Simba Vince akiwa na Libe(kulia) pamoja na mtoto wa Vince
Timu kepteni wa Simba na mwanae wakifurahia Kombe walilochukua baada ya kuibanjua Yanga kwa goli 5-2
Mama mwenye nyumba wa mmoja wa mchezaji wa Simba ambae kwa sababu za kiusalama hakutaka kutaja jina lake akishabikia ushindi wa Bosi wake akiwa na mtoto wa timu kepteni

No comments: