DC Pool Team Jumanne itapeperusha Bendera ya Taifa pale itakapocheza mechi ya kitaifa itakayoaanza 7pm jioni BEBE'S Sport Bar and Grill(zamani ikijulikana kama The Galley Club)
Tafadhali karibu tujumuike nao tuwashangilie,team imeingia Playoff add ni
1115 East West HWY,
Silver Spring,MD
Karibuni sana wakazi wa DMV mpate burudani
Wakati huo huo Team Pool DC inatarajia kuelekea Columbus OH wakati Memorial Weekend Bashment kucheza na team ya Pool,Columbus OH,team inatarajia kuondoka siku hiyo ya Ijumaa mchana na mechi hiyo kali inatarajia kufanyika Jumamosi May 28.
DC Pool Team inatarajia kupeleka wachezaji 12
No comments:
Post a Comment