ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 16, 2011

Saudath's Big Fat Mansion

Juu na chini hii ndio Big Fat Mansion ya Dada yetu Saudath Juma hili Jumba lipo Dar,maeneo ya Mbezi,Dada Saudath yeye anaishi Miami,Florida.Big Fat Mansion hii ina Sebule 3,Vyumba vya kulala  6,Majiko 2,Bafu ni 4 na nusu pia ina Balcony 6.
Dada Saudah akitupa tour,ndani Big Fat Mansion lake
Hapa ndio Ngazi zakuelekea Juu
Hapa ni juu mwisho wa ngazi 
Moja ya Bafu
Moja ya Sebule kwa pichaa zaidi Bonyeza Read More

7 comments:

Rose in Texas(Zabibu's friend) said...

Hongera saaaanaaa Sauda. I like your mansion dear!! Ni nzuri sana tena sana. Hongera sana tena sana!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

umeweza dada, ulikuwa ujirushi nini kwani huwa tunaishia mashidano ya kuvaa na magari huu ndio mfano wakuinga haswaaaaa!!!!wanawake namaendeleo hongera sana dada Sauda.

Anonymous said...

Mwanamke wa kitanga bibi!!! tuonyeshe mfanoo mama tukuige ndio maana yake, sio watu wengine kushindana kuvaa na magari ya mikopo. Love U Sauda

Anonymous said...

Dada nimekukubali..kwakweli umejitahidi sana na wewe ni mfano bora kwa wanawake wengine kuwa kila kitu kinawezekana....

Anonymous said...

Luke mbona umebania maoni yangu ya jana, nilitaka kujua huyu dada anafanya kazi gani huko Miami, hilo tu

Anonymous said...

hapana tuwe maswali kwanza halafu tukubali, ana miaka mingapi hapa marekani anafanya kazi gani na ameisave hiyo fedha kwa muda gani na imemugharimu kiasi gani? lazima tujiulize mara mbili, sio rahisi kwa wapiga box

Anonymous said...

Labda Niwasaidie kidogo wanaouliza maswali mimi kwa ninavyomjua huyu dada ana miaka 10 hapa marekani na amefanya kazi moja tu tangu ameingia hii nchi ..Alikuwa mwajiriwa kwenye Beauty Salon na sasa hivi ni Owner wa Beauty Salon... Mpeni hongera zake kwa kazi nzuri aliyofanya Keep it up Sister...