ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 2, 2011

kunauwezekano simu za mkononi kusababisha Saratani(Cancer)

Cell Phone Radiation
The World Health Organization(WHO) jumanne hii wametangaza uwezekano mkubwa wa simu za mkononi kusababisha maradhi ya Saratani ya ubongo.

 Madaktari Bingwa kutoka Nchi 45 Duniani ambao wamefanya uchunguzi wa takribani miaka kumi,wamesema asilimia kubwa ya watumiaji simu za mkononi wanauwezekano mkubwa wa kupata Cancer ya ubongo.

Madaktari hao walipendekeza njia za kufuata unapoongea na simu yako ya mkono

1.hakikisha unapoongea unatumia Hands Free Device

2. Texting ni salama au kuongea kwa kutumia Speaker

3.Kuongea kwa kuweka simu mbali na sikio

No comments: