
Mcheza kikapu wa ligi ya NBA Nchini Marekani Shaquille O'neal ametangaza rasmi kuachana na mchezo huo leo Jumatano June 1,2011
Mchezaji huyo mwenye umbo kubwa ambae amecheza kikapu takriban miaka 19,na kuchaguliwa MVP kwenye fainali ya mchezo huo mara 3 na kuchaguliwa mara 15 kwenye All Star Game.
No comments:
Post a Comment